top of page

Huduma zitolewazo na Members/Washirika wa Kodisha

MM Venture

Kampuni amazing kwa ajili ya huduma ya kukodi magari mazuri na ya kisasa kabisa kwa ajili ya sherehe yako kama vile Mercedes Benz, Range Rover, Hammer, Voxy na mengine mengi.

Kuwasiliana nasi +255716678041, Karibuni

Purecolour Tanzania

Purecolours ni wapiga picha na video shooters wenye ujuzi na kazi zao za kuchukua matukio katika shughuli za kijamii kama sendoff, kitchen party, na sherehe nyingine nyingi.

Kuwasiliana nasi +255657919450, Karibuni

Dworks Photography

Wapiga Picha amazing kabisa katika shughuli yako iwe ni sherehe au zile za kijamii, Video shooting pamoja na Photography kwa ujumla tupo Vizuri.

Kuwasiliana nasi +255 655 785 544, Karibuni

Bride and Groom Tanzania

Karibuni Bride and Groom Tanzania, Bridal dresses pamoja na Toxedo amazing kabisa kwa ajili ya Sherehe yako tunakodisha kwa ajili ya Harusi na Kuifanya sherehe yako kuvutia kwa kuwapendezesha Bw & Bi Harusi, Tunapatikana mwenge opposite ofisi za TRA na magorofa ya jeshi.

Kuwasiliana nasi +255674520555, Karibuni

Hugodomingo Decor

Hugodomingo decor, wapambaji mahiri kabisa ndani ya Dar kwa ajili ya shughuli yako kuanzia Send off, Harusi, Kitchen Party na Shughuli nyingine nyingi zinazohitaji mapambo ya aina tofauti.

Kuwasiliana nasi +255763500510, Karibuni

MC Pilipili

The best MC and award winner, MC mahiri na mcheshi, machachari na mwenye ujuzi wa kazi yake. MC Pilipili anaejua kuukamata umati kwa ajili ya Booking katika namba 0715 415542

MC Erick Mchome

The great MC alive, MC anaekwenda na Muda na pia kuweza kufanya sherehe yako ikavutia. Yupo Makini sana, and he is one of a kind... Kufanya Booking kwa ajili ya sherehe yako, +255785233125 or +255713142692

Pius Paul

The amazing Disk Joker(DJ) for your party, kuanzia Harusi, Kitchen Party, Send Offs and all that requires his services. Kufanya Booking, Fanya kupiga namba hii +255656179898, Karibuni

Wedding Invitation cards

Kwa mahitaji ya Card zenye Kuvutia kwa ajili ya Sherehe yako, Karibu ukutane na Wedding Invitation Cards, watengenezaji wa kadi amazing kabisa kwa ajili ya Tafrija yako.

Kuwasiliana nasi +255714460176

or +255716619151, Karibuni

Harusi Nzuri Decor

Wapambaji amazing kabisa kwa kutumia maua ya aina mbalimbali yenye mvuto, kwa kifupi Harusi Nzuri Decor Tunajua nini Tunafanya ili kufanya Sherehe yako ivutie na iwe tukio la Kukumbukwa...

Kufanya Booking piga +255767896010, Karibuni.

Kuona na Kujua mengi zaidi Ingia katika Forum yetu...

​HUDUMA ZITOLEWAZO NA KODISHA

Zifuatazo ni huduma mbalimbali zinazotolewa hapa, katika website hii ya Kodisha.

Hugodomingo Decor

Hugodomingo decor, wapambaji mahiri kabisa ndani ya Dar kwa ajili ya shughuli yako kuanzia Send off, Harusi, Kitchen Party na Shughuli nyingine nyingi zinazohitaji mapambo ya aina tofauti.

Kuwasiliana nasi +255763500510, Karibuni

  • Facebook Social Icon
  • Pinterest Social Icon
  • Twitter Social Icon
  • Instagram Social Icon

Address

Dar es Salaam, Tanzania

Contact

Follow

0654660654

©2017 by KODISHA. Proudly created with Wix.com

bottom of page