
KARIBU
Karibu ndani ya KODISHA, daraja la sherehe na Shughuli za Kijamii. Dhumuni kubwa la ukumbi huu ni kuwakutanisha wale wote wenye ujuzi wa kuendesha sherehe pamoja na wale wenye uhitaji wa watu wenye ujuzi huo, Hali Kadhalika Ndani ya Kodisha Utakutana na watu wenye vifaa vya Ujenzi na Shughuli mbalimbali za Kijamii Pia Kodisha ni daraja kati ya wenye vifaa vya kwenye tafrija kama vile muziki, viti, mahema n.k, na wale wenye uhitaji wa vifaa hivyo. Kodisha ni Chombo cha Kuwakutanisha wale wote wenye kuhusika na tafrija au Shughuli za maendeleo ya Jamii kwa namna moja au nyingine, uwe mhitaji au mtoa huduma, kwa ujumla Karibuni KODISHA.

KWA HUDUMA MBALIMBALI
Huduma ambazo zinaweza kutolewa na Members wa Kodisha ni Pamoja na kukodi mahema, kukodi viti, kukodi muziki, Wapishi, Washereheshaji, Wanaotengeneza Card, Kukodi Usafiri wa Bw na Bi/Mhusika wa Sherehe, Wapambaji, Wanaotengeneza Keki, Kukodi Kumbi, Kukodi Usafiri wa Umati, Wapiga Picha, Video Shooters, Vinywaji vya Jumla, Security Teams, Power supply insurance for your party, Bridal dress leasing and Buying, Party Planers, Dress Designers
Aidha Tungependa kuwataarifu wote wenye vifaa vya Ujenzi ambavyo huhitajika kukodiwa ili Kufanikisha Ujenzi wa Aina Fulani, Watangaze Ndani ya Kodisha Forum Bure bila Maalipo ya Aina yoyote, lengo ni Kuwasaidia wale wote wenye Uhitaji wa Vifaa hivyo Kuvipata Kirahisi kwa Kutumia Website hii. Karibuni